Mkurungezi wa kampuni hiyo Luo Ming, amesema waliingia kwenye soko la kenya ili kupunguza athari ya aka za plastiki kwenye mazingira amabzo huishia hasa kwenye bahari mito na maziwa.
Amesema tayari wameagiza mashine za kiwanda hicho kutoka china.
Tayari kampuni hiyo ina kiwanda kingine katika eneo la Athiriver ambapo inaregeleza tani 2,000 za chupa za plastiki kila baada ya miezi 3.
Weeco inashirikiana na kampuni ya PETCO Kenya ambayo hulipa dola 0.05 kwa kila kilo ya plastiki kwa kampuni hiyo ya China.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |