• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Trump apenda kusaini makualibano ya biashara na Uingereza

    (GMT+08:00) 2019-06-05 09:08:38

    Rais Donald Trump wa Marekani ambaye yupo ziarani nchini Uingereza amesema, anapenda kusaini makubaliano mazuri ya biashara kati ya nchi hizo mbili baada ya Brexit. Naye waziri mkuu wa Uingereza Bi. Theresa May alipokutana na waandishi wa habari akiwa na mgeni wake huyo, amesema nchi hizo mbili zina uhusiano maalumu ya kihistoria, lakini zina maoni tofauti katika baadhi ya masuala yakiwemo mabadiliko ya hali ya hewa na suala la nyuklia la Iran.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako