• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa Lebanon asisitiza mapambano dhidi ya ugaidi ni ya muda mrefu

    (GMT+08:00) 2019-06-05 09:08:59

    Rais Michel Aoun wa Lebanon amesema mapambano dhidi ya ugaidi ni ya muda mrefu, na kutaka idara za usalama za nchi hiyo ziwe makini na kuimarisha uratibu na ubadilishanaji wa habari. Jumatatu wiki hii, mji wa Tripoli uliopo kaskazini mwa nchi hiyo ulishuhudia mashambulizi kadhaa, ambayo yalisababisha vifo vya wanajeshi wawili na askari polisi wawili, na majeruhi ya watu wengi. Taarifa iliyotolewa na ofisi ya rais imesema, mashambulizi hayo ya kigaidi hayataathiri utulivu wa nchi hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako