• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kiongozi wa Iran awataka wairan waendelee kukabiliana na shinikizo la Marekani

    (GMT+08:00) 2019-06-05 09:09:17

    Kiongozi mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei amewataka watu wa nchi hiyo waendelee kukabiliana na shinikizo la Marekani. Amesema sera ya Iran ya kupinga Marekani imepata mafanikio, na kuhamasisha nchi nyingine zinazokandamizwa na Marekani. Amesema Iran imepata maendeleo katika sekta mbalimbali, haswa uwezo wa kijeshi ambao hauwezi kunyakuliwa na maadui. Ameongeza kuwa Iran haipaswi kujibu pendekezo la Marekani la kufanya mazungumzo, bali Marekani inatakiwa kukaa mbali na mambo ya ndani ya Iran.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako