• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Benki ya Dunia yapunguza makadirio ya ongezeko la uchumi wa dunia kwa mwaka huu na mwaka kesho

    (GMT+08:00) 2019-06-05 09:31:27

    Benki ya Dunia jana imetoa ripoti ya Mtazamo wa Uchumi wa Dunia ikipunguza kwa mara nyingine makadirio ya ongezeko la uchumi wa dunia kwa mwaka huu na mwaka ujao.

    Benki hiyo pia imeonya kuwa uchumi wa dunia unakabiliwa na hatari kubwa ya kudidimia, na ni rahisi kuathiriwa na hali ya wasiwasi ya biashara na mgogoro wa kifedha.

    Ripoti hiyo imekadiria kuwa, ongezeko la uchumi wa dunia kwa mwaka huu na mwaka kesho litafikia aslimia 2.6 na asilimia 2.7 mtawalia, ambazo zimepunguzwa kwa aslimia 0.3 na asilimia 0.1 kuliko makadirio yaliyotolewa mwezi Januari mwaka huu. Hata hivyo, ripoti hiyo imedumisha makadirio ya ongezeko la asilimia 6.2 la uchumi wa China bila mabadiliko.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako