• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Balozi wa Nigeria katika UM achaguliwa kuwa mwenyekiti mpya wa Baraza Kuu la 74 la Umoja huo

    (GMT+08:00) 2019-06-05 09:45:30

    Baraza Kuu la 73 la Umoja wa Mataifa limemchagua balozi wa Nigeria Bw. Tijjani Muhammad-Bande kuwa mwenyekiti wa Baraza Kuu la 74 la Umoja huo, na anatarajia kuingia ofisini rasmi mwezi Septemba mwaka huu.

    Bw. Muhammad-Bande amesema, mpango wake wa kazi utazingatia zaidi kuhimiza amani na usalama, kuondoa umaskini, kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa na kusukuma mbele maendeleo ya pamoja.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako