• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Cuba yalaumu Marekani kuchukua hatua za kuweka kikomo cha idadi ya watu wanaotalii nchi hiyo

    (GMT+08:00) 2019-06-05 17:29:57

    Rais Miguel Diaz-Canel wa Cuba na maofisa wa nchi hiyo wamelaani tangazo la Marekani la kuchukua hatua ya kuweka kikomo cha idadi ya watu wanaotalii kwenda Cuba. Rais Miguel amesema kuwa tishio na vikwazo vikubwa haliwezi kuifanya Cuba iogope au kutishwa, na Cuba itajibu vikali.

    Waziri wa mambo ya nje wa Cuba Bw. Bruno Rodriguez Parrilla amesema lengo la vikwazo hivyo ni kuua uchumi wa Cuba na kuharibu kiwango cha maisha ya watu wa nchi hiyo, na kuilazimisha nchi hiyo isalimu amri katika mambo ya kisiasa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako