• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: DRC kuvaana na Burkina Faso mechi ya kirafiki Jumapili

    (GMT+08:00) 2019-06-06 08:11:26

    Leopards ya DRC itakuwa na mchezo wake wa kwanza wa kirafiki wa kimataifa katika uwanja wa Marbella kusini mwa Uhispania ambapo imepiga kambi ikijiandaa kwa michuano ya mataifa ya Afrika AFCON.

    Kikosi cha DRC chini ya kocha wao Florent Ibenge amesema mechi hiyo ni muhimu kwao kwani wataendelea kujipima na kusahisha makossa madogo yatakayojitokeza, DRC pia itacheza mchezo wake wa pili wa kirafiki na Harambee Stars ya Kenya Juni 15. DRC ipo kundi A pamoja na wenyeji Misri, Uganda na Zimbabwe.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako