• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Michuano ya Kombe la Kagame kutimua vumbi Kigali Rwanda

    (GMT+08:00) 2019-06-06 08:11:51

    Michuano ya Kombe la Kagame kwa klabu za Afrika Mashariki na Kati inayojulikana zaidi kama kombe la CECAFA inatazamiwa kufanyika Julai 7 hadi 21 mwaka huu nchini Rwanda.

    Katibu mkuu wa CECAFA, Musonye ametaja timu zitakazoshiriki michuano hiyo ni Azam na Simba za Tanzania, Gor Mahia ya Kenya, Eagles ya Burundi, Rayon Sports, APR NA Mukura za Rwanda, Zesco United ya Zambia, pia timu kutoka Sudan, Ethiopia, Somalia, Eritrea na Djibout zitashiriki.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako