• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • NDONDI: Baada ya kupokea kipigo, Anthony Joshua ashauriwa kumtimua kocha wake, Rob McCracken

    (GMT+08:00) 2019-06-06 08:12:40

    Bondia wa zamani wa uzito wa juu na bingwa wa dunia, Lennox Lewis amemwambia mwanamasumbwi, Anthony Joshua kuwa aachane na mwalimu wake anayemfundisha, Rob McCracken kutokana na mchezaji huyo kupokea kichapo kutoka kwa Andy Ruiz.

    McCracken amekuwa kocha wa Anthony Joshua kwa muda mrefu sasa huku akimpatia mafanikio ya kutwaa ubingwa wa Olympic gold, IBF, WBA na WBO lakini Lewis anaamini anapaswa mwalimu huyo kuachananaye hasa kutokana na matokeo hayo ya aibu aliyopata kwenye ukumbi wa Madison Square Garden siku ya Jumamosi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako