• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa Zambia asema pendekezo la Ukanda Mmoja na Njia Moja litahimiza biashara ya Afrika

    (GMT+08:00) 2019-06-06 08:50:38

    Rais Edgar Lungu wa Zambia jana amesema, ushirikiano wa Ukanda Mmoja na Njia Moja utazisaidia nchi za Afrika kuimarisha biashara kati yao na nchi nyingine ikiwemo China.

    Rais Lungu amesema, China imeonesha ahadi yake ya kujenga miundombinu itakayounganisha na kuanzisha ushirikiano wa kibiashara kote duniani. Pia amesema, Zambia itaendelea kuimarisha uhusiano na China kwenye sekta mbalimbali za kiuchumi, ikiwemo maendeleo ya miundombinu inayowanufaisha wazambia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako