• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Magaidi 6 wa kundi la IS wauawa katika shambulizi la anga la Marekani nchini Somalia

    (GMT+08:00) 2019-06-06 10:04:21

    Jeshi la Marekani limesema limefanya shambulizi la anga dhidi ya kundi la IS kaskazini mwa Somalia, na kuwaua magaidi 6 wa kundi hilo. Kamandi ya jeshi la Marekani barani Afrika Africom imesema, shambulizi hilo limefanywa kwa kushirikiana na serikali ya Somalia dhidi ya magaidi walioko milima ya Golis. Mapigano yanaendelea kati ya kundi la al-Shabaab na kundi lingine la kigaidi linalounga mkono kundi la IS ambalo lilijitenga kutoka kundi la Al-Shabaab Oktoba mwaka 2015.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako