Bw. Kang amesema hutua zilizochukuliwa na China za kuongeza usimamizi wa fedha, kupunguza ufisadi katika usimamizi na kuboresha mfumo wa kusimamia, zimehimiza ongezeko la mikopo na kupungua kwa mzigo wa madeni kwa makampuni.
Bw. Kang pia amesema kuanzia mwanzoni mwa mwaka huu, ongezeko la uchumi wa China limeonesha mwelekeo wa utulivu, na limeonesha athari chanya za utekelezaji wa sera husika.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |