• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi Jinping wa China akutana na waziri mkuu wa Russia

    (GMT+08:00) 2019-06-06 20:37:47

    Rais Xi Jinping wa China ambaye yupo ziarani nchini Russia amekutana na kufanya mazungumzo na waziri mkuu wa Russia Bw. Dmitry Medvedev.

    Kwenye mazungumzo yao rais Xi amesisitiza kuwa pande hizo mbili zinatakiwa kuhimiza ushirikiano katika sekta mbalimbali kupata maendeleo kwa kina, ili kuwanufaisha zaidi watu wa nchi hizo mbili, na kuleta msukumo kwa maendeleo ya uhusiano wa pande hizo mbili.

    Bw. Medvedev amesema Russia inapenda kushirikiana na China, kutekeleza kwa pande zote makubaliano muhimu ya ushirikiano yaliyofikiwa na viongozi wa nchi hizo mbili.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako