• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Taifa Stars yaagwa, kuondoka leo kuelekea Misri kwa ajili ya AFCON 2019

    (GMT+08:00) 2019-06-07 08:26:11
    Naibu waziri wizara ya habari, utamaduni, Sanaa na michezo wa Tanzania Juliana Shonza amesisitiza nidhamu kwa wachezaji wa timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kuelekea fainali za mataifa ya Afrika AFCON yatakayoanza Juni 21 nchini Misri.

    Shonza amezungumza hayo jana kwenye kambi ya timu hiyo alipokuwa akiiaga tayari kwa safari ya Misri. Naye nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta akizungumza kwa niaba ya wachezaji wenzake, amesema wanaishukuru serikali ya nchi hiyo kwa kuwaunga mkono tangu mwanzo na wanaahidi watapigana kufa na kupona kufanya vizuri kwenye michuano hiyo

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako