• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • RAGA: Shujaa sasa yaelekeza nguvu kufuzu Olimpiki baada ya kuangukia pua mashindano ya raga ya dunia

    (GMT+08:00) 2019-06-07 08:26:38
    Baada mashindano ya dunia ya raga msimu 2018/2019 kufikia tamati Jumapili, Kenya sasa inaelekeza macho kwenye kombe la Afrika litakaloandaliwa mjini Johannesburg nchini Afrika Kusini baadaye mwaka huu na kutumika kama mchujo wa Olimpiki mwaka 2020.

    Michuano ya kombe la Afrika itafanyika Novemba 8 na 9 mwaka huu Afrika kusini na kushirikisha mataifa 13 ya Namibia, Zimbabwe, Zambia, Tunisia, Ghana, Morocco, Uganda, Botswana, Mauritius, Madagascar, Senegal, Ivory Coast na Nigeria.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako