• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Marais wa China na Russia wafanya tena mkutano huko St. Petersburg

    (GMT+08:00) 2019-06-07 09:48:00

    Rais Vladimir Putin wa Russia amefanya mkutano mwingine na mwenzake wa China Xi Jinping huko St. Peterburg.

    Rais Putin amemkaribisha rais Xi kufanya ziara tena katika mji huo na kumfahamisha utamaduni wa St. Petersburg na majengo yaliyoko karibu. Rais Xi ameeleza kufurahia kutembelea mji huo ambao ni maskani ya rais Putin.

    Rais Xi pia amehudhuria hafla ya kupewa shahada ya heshima ya uzamivu ya chuo kikuu cha St. Petersburg, na kutoa hotuba akisema, anaona fahari kupata shahada hiyo. Amesema katika miaka ya hivi karibuni, chuo kikuu hicho kimefanya ushirikiano wa karibu na vyuo vikuu vya China, na kuhimiza utamaduni wa China kuenea nchini Russia, huku kikisukuma mbele maendeleo ya utafiti wa Russia nchini China.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako