• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • FAO yasema bei ya chakula duniani imeongezeka kwa miezi mitano mfululizo

    (GMT+08:00) 2019-06-07 09:48:17

    Shirika la Kilimo na Chakula la Umoja wa Mataifa FAO limetoa takwimu zikionesha kuwa, bei ya chakula duniani imepanda kwa miezi mitano mfululizo kutokana na hali mbaya ya hewa na kupungua kwa utoaji wa jibini na mahindi. Kutokana na takwimu hizo, mwezi Mei kigezo cha bei za chakula cha Shirika hilo kilifikia 172.4, ikiwa ni ongezeko la asilimia 1.2 ikilinganishwa na mwezi Aprili.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako