• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mtoto mmoja auawa katika shambulizi la bomu mjini Aden, Yemen

    (GMT+08:00) 2019-06-07 09:56:13
    Watu wenye silaha wasiojulikana wamerusha guruneti kwenye tamasha la uimbaji lililofanyika jana usiku mjini Aden, kusini mwa Yemen na kusababisha kifo cha mtoto mmoja na wengine kadhaa kujeruhiwa.

    Tamasha hilo lililoandaliwa na mamlaka ya mitaa lilifanyika ndani ya uwanja wa michezo katika kusherehekea sikukuu ya Eid al-Fitr. Vikosi vya usalama vimepelekwa kwenye eneo la tukio kulinda usalama wa akina mama na watoto.

    Mpaka sasa, hakuna kundi lolote lililokiri kuhusisha na tukio hilo, lakini kikosi cha usalama kinayatuhumu makundi ya kigaidi kuhusika na shambulizi hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako