• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda yafanya mazungumzo ya mwisho kwa ajili ya ujenzi wa reli inayoelekea bandari ya Kenya

    (GMT+08:00) 2019-06-07 18:14:12

    Rais Yoweri Museveni wa Uganda amesema Uganda iko kwenye hatua ya mwisho ya mazungumzo kwa ajili ya ujenzi wa reli ya SGR. Rais Museveni amesema makubaliano yanatarajiwa kusainiwa baada ya mazungumzo hayo kumalizika, reli ambayo itapunguza sana gharama za uchukuzi. Lakini hakutaja serikali ya Uganda inafanya mazungumzo na watu gani.

    Reli hiyo itaunganisha Uganda na bandari ya Kenya, nchi ambayo imekamilisha ujenzi wa reli ya SGR kutoka Nairobi hadi Mombasa, na sasa inaendelea kujenga reli hiyo kuelekea magharibi mwa Kenya.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako