• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda: Simu mpya kuzalishwa Rwanda

    (GMT+08:00) 2019-06-07 19:46:59
    Rwanda Itazindua aina mpya ya simu inayotengenezwa ndani ya nchi miezi miwili ijayo.

    Simu hizo zitatengenezwa na kampuni ya Mara Corporation na kuuzwa nchini humo pamoja na masoko ya nje.

    Mkurugezi mkuu wa kampuni ya Mara Ashish Thakkar, amesema utengenezaji wa simu hiyo ni sehemu ya kuunga mkono mpango wa Rwanda wa kuzalisha bidhaa nyumbani ili kukuza zaidi uchumi.

    Alisema waru 200 wataajiriwa kwenye kiwanda cha kutengeneza simu hizo na asilimia 16 watakuwa wanawake.

    Bei ya simu hizo mpya itakuwa kati ya dola 100 na 200.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako