• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kituo Kikuu cha Radio na Televisheni cha China chasaini makubaliano ya ushirikiano na Kundi la televisheni la SPB la Russia

    (GMT+08:00) 2019-06-07 20:46:31

    Wakati wa maadhimisho ya miaka 70 ya uhusiano wa kibalozi kati ya China na Russia, huku wakishuhudiwa na marais Xi Jinping wa China na Vladimir Putin wa Russia, mkuu wa Kituo Kikuu cha Radio na Televisheni cha China Bw. Shen Haixiong na mkurugenzi mtendaji wa kundi la televisheni la SPB la Russia Bw. Kirill Philippov, wamebadilishana Makubaliano kuhusu utoaji wa ruhusa kwa idhaa za kiingereza na kirusi za Mtandao wa televisheni wa ulimwengu wa China, na idhaa ya kimataifa ya kichina ya CCTV kutangazwa nchini Russia na utoaji wa huduma kuhusu kupokea na kurusha vipindi, hali ambayo imeonesha kuwa pande hizo mbili zitakuza ushirikiano katika vipindi vya televisheni vya China kutangazwa nchini Russia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako