• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi Jinping arudi Beijing baada ya kumaliza ziara nchini Russia na baraza la uchumi wa kimataifa wa St. Petersburg

    (GMT+08:00) 2019-06-08 17:16:14

    Rais Xi Jinping wa China amerudi Beijing leo asubuhi, baada ya kumaliza ziara yake nchini Russia na kuhudhuria Baraza la 23 la uchumi wa kimataifa uliofanyika tarehe 7 huko St.Petersburg.

    Akitoa hotuba ya pongezi ya "kushikilia maendeleo endelevu na kujenga kwa pamoja dunia nzuri yenye ustawi", rais Xi amesisitiza kukabiliana na mabadiliko makubwa duniani, na kwamba China inapenda kushirikiana na jumuiya ya kimataifa, kuboresha uchumi wa wazi na wa aina mbalimbali wa dunia, kufanya juhudi ya kujenga jamii yenye furaha na kujenga makazi mazuri ya kuishi watu na maumbile pamoja kwa masikilizano, na kushirikiana kuanzisha njia mpya ya maendeleo endelevu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako