• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi Jinping wa China kufanya ziara nchini Kyrgyzstan na Tajikistan

    (GMT+08:00) 2019-06-09 18:27:05

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bw. Lu Kang amesema kutokana na mwaliko wa rais Sooronbay Zheenbekov wa jamhuri ya Kyrgyzstan, rais Xi Jinping wa China atafanya ziara nchini Kyrgyzstan kuanzia tarehe 12 hadi tarehe 14 mwezi Juni na kuhudhuria mkutano wa 19 wa baraza la viongozi wa nchi wanachama wa shirika la ushirikiano la Shanghai utakaofanyika huko Bishkek.

    Msemaji huyo pia amesema kutokana na mwaliko wa rais Emomali Rakhmonov wa Tajikistan, rais Xi Jinping wa China atahudhuria mkutano wa 5 wa viongozi wa maingiliano na hatua za kujenga uaminifu wa Asia huko Dushanbe na kufanya ziara nchini Tajikistan.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako