• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wanafunzi wa shule za sekondari Rwanda washiriki kwenye mashindano ya lugha ya Kichina

    (GMT+08:00) 2019-06-10 09:05:41

    Wanafunzi wa shule za sekondari kutoka sehemu mbalimbali nchini Rwanda wameshiriki kwenye fainali ya mashindano ya lugha ya Kichina yaliyofanyika Kigali, mji mkuu wa nchi hiyo.

    Washindi kumi kutoka washindani zaidi ya 1,000 wameonesha ujuzi wao wa lugha ya Kichina kwa kupitia mashindano matatu ya kuongea kichima, maswali kuhusu uelewa wao wa China na maonesho ya vipaji. Wanafunzi wawili walioshika nafasi mbili za kwanza, Sabine Kimonyo Irakoze and Kenny Gumirza, watakuja China na kushiriki kwenye mashindano ya fainali ya kimataifa.

    Wizara ya elimu ya Rwanda imepongeza ushirikiano uliopo kati ya Rwanda na China, hasa kwenye sekta ya elimu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako