• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • RIADHA: Watanzania watamba mashindano ya mbio ya Akhwari

    (GMT+08:00) 2019-06-10 09:14:26
    Wanariadha watanzania Emmanuel Giriki na Failuna Abdi wameshinda mashindano ya mbio ya kimataifa ya John Stephen Akhwari yaliyofanyika jana jijini Arusha.

    Giriki ameshinda kwa upande wa wanaume ametumia saa 1:05:50 huku Failuna akishinda kwa upande wa wanawake baada ya kutumia saa 1:12:30 na kuwapita Judith Cherolo wa Kenya aliyemaliza wapili na nafasi ya tatu ikichukuliwa na mtanzania mwingine Magdalena Chrispin.

    Mashindano hayo yameshirikisha wanariadha 700 katika mbio za kilomita 21, kilomita 5 na kilomita 1.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako