• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Harambee Stars yaifumua Madagascar 1-0 jijini Paris

    (GMT+08:00) 2019-06-10 09:14:43
    Timu ya taifa ya Kenya Harambee Stars imecheza mchezo wake wa kwanza wa kirafiki na Madagascar na kuifunga goli 1-0 ikiwa ni mchezo wa maandalizi ya michuano ya mataifa ya Afrika (AFCON 2019) yanayotarajiwa kuanza Juni 21 nchini Misri.

    Kenya ilipata goli dakika ya 52 kwa mkwaju wa penalty kupitia mshambuliaji wake wa kimataifa anayekipiga katika klabu ya Tottenham Hotspurs Victor Wanyama.

    Baada ya mchezo huo, Kenya sasa itaelekea jijini Madrid Uhispania kwa ajili ya mechi nyingine ya kirafiki dhidi ya the Leopards ya DRC Juni 15.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako