• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Jeshi la Syria lapambana kuyakomboa maeneo yanayodhibitiwa na wapiganaji huko Hama

    (GMT+08:00) 2019-06-10 09:25:34

    Jeshi la Syria limetwaa tena udhibiti wa maeneo yaliyokuwa yakikaliwa na waasi katika mapambano yaliyoanza siku tatu zilizopita.

    Ofisa mmoja ambaye hakutaka kuweka wazi jina lake amesema, jeshi hilo limedhibiti tena mji wa Kafr Houd na sasa linaelekea kukomboa miji mingi zaidi ambayo ilidhibitiwa na wapiganaji tokea Ijumaa iliyopita.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako