• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi Jinping atoa salamu za pongezi kwa rais mteule wa Kazakhstan Kassym-Jomart Tokayev

    (GMT+08:00) 2019-06-10 19:29:28

    Rais Xi Jinping wa China leo ametoa pongezi kwa Bw. Kassym-Jomart Tokayev kwa kuchaguliwa kuwa rais wa Kazakhstan.

    Rais Xi amesema, China na Kazakhstan ni nchi jirani marafiki zinazoaminiana na wenzi wa kimkakati wa ushirikiano wa kunufaishana. Kwa sasa uhusiano kati ya nchi hizo mbili umeendelezwa kwenye kiwango cha juu, pande mbili zimepata matokeo makubwa kwenye kujenga kwa pamoja "Ukanda Mmoja na Njia Moja", ziko mstari wa mbele katika kujenga jumuiya yenye mustakabali wa pamoja, na uhusiano kati ya pande hizo mbili una mustakabali mzuri. Rais Xi amesema anafuatilia sana kuendelezwa uhusiano kati ya China na Kazakhstan, na anapenda kushirikiana na rais Tokayev kuhimiza uhusiano kati ya nchi hizo mbili kuendelezwa vizuri zaidi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako