• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: serikali ya Uganda inapanga kuboresha reli yake ya zamani kwa gharama ya dola milioni 205

    (GMT+08:00) 2019-06-10 19:40:25

    Uganda itawekeza dola milioni 205 kwa kurejesha reli ya zamani ambayo inaounganisha Kampala na Malaba kwenye mpaka wa Kenya baada ya kuchelewa kupata fedha kwa ajili ya reli ya kati SGR.

    kuboreshwa kwa reli ya zamani inatarajiwa kuongeza kupiga jeki mizigo kila mwezi hadi tani 120,000 kutoka tani 20,000 ya sasa ifikapo mwaka wa 2026, Stanley Sendegeya, afisa wa mkuu wa Fedha katika Shirika la Reli la Uganda, amesema.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako