• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: DRC yatoka sare na Burkina Faso mchezo wa kirafiki kujiandaa na michuano ya AFCON

    (GMT+08:00) 2019-06-11 08:32:21
    The Leopards ya DRC imetoka sare ya bila kufungana na Burkina Faso katika mchezo wao wa kwanza wa kirafiki kujiandaa kwa michuano inayoteka hisia za wengi ya mataifa ya Afrika (AFCON) yatakayoanza Juni 21 nchini Misri.

    DRC itacheza mchezo wake mwingine wa kirafiki na Harambee Stars ya Kenya Juni 15, huku ikisubiri kukutana na Uganda Cranes katika mchezo wa kwanza wa mashindano hayo ya Afcon Juni 22, kisha itavaana na wenyeji Misri June 26 na kumaliza mchezo wa mwisho wa kundi lake na Zimbabwe Juni 30.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako