• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Michuano ya kufuzu EURO 2020, Uhispania yashika usukuani kundi F

    (GMT+08:00) 2019-06-11 08:34:30
    Mechi kadhaa zilipigwa jana katika viwanja mbalimbali barani Ulaya za kufuzu michuano ya EURO 2020. Uhispania yenyewe ilikutana na Sweden kwenye mchezo wa kundi F uwanja wa Bernabeu Madrid na kuichapa Sweden magoli 3-0. Magoli ya Uhispania yalipachikwa kimiani na nahodha Sergio Ramos kwa mkwaju wa penalti dakika ya 64, Alvaro Morata aliongeza bao la pili dakika ya 85 pia kwa penalti huku bao la tatu likifungwa na Mikel Oyarzabal dakika ya 87. Kwa ushindi huo, Uhispania wanaendelea kuongoza kwa kufikisha alama 12.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako