• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China na Umoja wa Ulaya zaanza mazungumzo ya 21 juu ya mkataba wa uwekezaji wa pande mbili

    (GMT+08:00) 2019-06-11 09:14:01

    Wizara ya biashara ya China imesema mazungumzo ya 21 kati ya China na Umoja wa Ulaya juu ya mkataba wa uwekezaji wa pande mbili BIT yameanza jana mjini Beijing.

    Katika mazungumzo hayo ya siku tano, pande hizo mbili zitajadili masuala kadhaa ikiwemo waraka wa makubaliano na orodha, na kujitahidi kupata maendeleo halisi.

    Mazungumzo hayo yaliyoanza mwaka 2013, ni moja ya mazungumzo muhimu zaidi ya kibiashara na kiuchumi ya China, na makubaliano ya ngazi ya juu yanatarajiwa kusainiwa mwakani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako