• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa Tanzania awaelekeza maofisa wapya washughulikie matatizo ya kibiashara

    (GMT+08:00) 2019-06-11 09:14:22

    Rais John Magufuli wa Tanzania jana amewataka maofisa wapya wa ngazi ya juu wa serikali watekeleze wajibu wao katika kushughulikia matatizo ya kibiashara pamoja na mapungufu yaliyopo, na kuwaonya kuwa kama wakifanya makosa, watafukuzwa kazi.

    Rais Magufuli amesema hayo baada ya kuwaapisha maofisa watatu wapya, akiwemo waziri mpya wa viwanda na biashara Bw. Innocent Bashungwa na mkuu wa Mamlaka ya Kodi Tanzania TRA Bw. Edwin Mhede.

    Rais Magufuli ameeleza kusikitishwa kwake na hali ya sasa ya TRA na wizara ya viwanda na biashara, na kusema hiyo ndio sababu kubwa ya mabadiliko hayo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako