• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa Marekani asema ushuru dhidi ya bidhaa za Mexico utarejeshwa endapo Mexico haitapitisha makubaliano kuhusu uhamishaji

    (GMT+08:00) 2019-06-11 09:33:13

    Rais Donald Trump wa Marekani amesema, kama bunge la Mexico halitapitisha makubaliano kuhusu uhamiaji, basi ushuru dhidi ya bidhaa zake utarejeshwa.

    Ijumaa iliyopita Marekani na Mexico zilifikia makubaliano ili kuepuka kuongezwa kwa ushuru dhidi ya bidhaa zote za Mexico. Ikiwa sehemu ya makubaliano hayo, Mexico itapeleka vikosi vya ulinzi kote nchini humo ili kuzuia wahamiaji haramu, haswa mpaka wa kusini. Marekani itapanua mpango wa kuwaruhusu wanaotafuta hifadhi kubaki nchini Mexico wakati masuala yao ya kisheria yanashughulikiwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako