• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waasi wa Houthi wa Yemen wasema wamefanya mashambulizi dhidi ya kituo cha anga cha Saudi Arabia

    (GMT+08:00) 2019-06-11 09:34:05

    Kituo cha televisheni cha waasi cha Al-Masirah cha Yemen kimeripoti kuwa, waasi wa Houthi wamefanya mashambulizi kadhaa kwenye kituo cha kijeshi katika mkoa wa Asir, kusini magharibi mwa Saudi Arabia.

    Mashambulizi hayo yanalenga kituo cha anga cha King Khaled, mjini Asir, lakini serikali ya Saudi Arabia haijathibitisha kutokea kwa mashambulizi hayo.

    Hayo ni mashambulizi mapya kutangazwa na waasi wa Yemen dhidi ya miji na vifaa zilizoko mpakani mwa Saudi Arabia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako