• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kampuni ya China yaonesha bidhaa za nishati ya jua nchini Ethiopia

    (GMT+08:00) 2019-06-11 09:40:26

    Kampuni ya Lemi ya Shenzhen (SLTDC) kutoka China jana imeonesha bidhaa zake za nishati ya jua huko Addis Ababa nchini Ethiopia.

    Ofisa mtendaji wa kampuni hiyo Bw. Feng Xie amesema, kampuni hiyo imepeleka bidhaa za nishati ya jua zinazoweza kuwapatia umeme aslimia 75 ya Waethiopia ambao hawapati umeme wa uhakika.

    Maneja wa kampuni inayomilikiwa na serikali ya Ujerumani ya GIZ kwenye eneo la Oromia Bw. Kedir Adem amesema, bidhaa za kampuni ya SLTDC zitaongeza ubora na idadi ya bidhaa za nishati ya jua nchini Ethiopia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako