• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mji wa Beijing umejenga vituo 4,300 vya huduma za 5g kwenye maeneo muhimu

    (GMT+08:00) 2019-06-11 19:26:46

    Mji wa Beijing umejenga vituo 4,300 kwenye maeneo muhimu ya mjini na majengo makubwa, na tayari huduma za awali zisizo za kibiashara za 5G kwenye maeneo ya utawala, uwanja mpya wa ndege, eneo la maonesho ya bustani na maua la kimataifa, viwanja vya majaribio kwa ajili ya mashindano ya Olimpiki ya majira ya baridi ya mwaka 2022, uwanja wa Tian'anmen na barabara ya Chang'an.

    Hadi kufikia mwaka 2021, maeneo ya kiini ya mji wa Beijing, ikiwa ni pamoja na eneo la kibiashara, vituo vya uvumbuzi na maeneo ya uendelezaji wa teknolojia, yatakuwa na mtandao wa 5G

    Hadi kufikia mwishoni mwa mwezi uliopita mjini wa Beijing ulikuwa umekabidhi vituo 5,983 kwa makampuni matatu ya simu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako