• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania: Utalii kutangazwa zaidi uwanja wa ndege Dar

    (GMT+08:00) 2019-06-11 19:32:02

    Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Jaji mstaafu, Thomas Mihayo amesema bodi hiyo itakuwa na ofisi maalumu katika jengo jipya la kupokelea wageni (Terminal III) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam.

    Jaji Mihayo ameyasema hayo10 jijini Dar es Salaam wakati akizungumzia jinsi bodi hiyo ilivyojipanga kutangaza utalii kwa wageni wanaowasili nchini, pia kutangaza utalii kwenye nchi wanazotoka.

    Mwenyekiti huyo amesema mbali na kuwa na ofisi, wataweka pia matangazo mbalimbali ya vivutio vya utalii kwenye uwanja huo ili kuvitangaza kwa wageni wanaoingia nchini kwa shughuli mbalimbali.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako