• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Kampuni mpya kuendesha mabasi ya mwendo kasi Kenya

    (GMT+08:00) 2019-06-11 19:33:00

    Wizara ya uchukuzi nchini Kenya itaanzisha kampuni ya kuendesha mabasi 64 ya kasi yanayotarajiwa kupunguza msongamano wamagari mjini Nairobi.

    Waziri wa uchukuzi James Macharia alisema kampuni hiyo itakuwa na uwakilishi kutoka kwa umma na sekta binafsi.

    Serikali ilitumia shilingi bilioni 1.6 kununua magari hayo.

    Mfumo wa Usafiri wa mabasi ya mwendo kazi umeundwa ili kuboresha mtandao wa usafiri wa umma ambao utakuwa rahisi kuliko mabasi ya kawaida.

    Maeneo yatakayopewa kipaumbele cha uchukuzi wa mabasi hayi ni kama vile uwanja wa ndege, barabara kadhaa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako