• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mashirika ya ndege afrika kukabiliwa na hasara

    (GMT+08:00) 2019-06-11 19:33:47

    Shirika la usafiri wa anga la kimataifa IATA limetabiri kuwa mashirika ya ndege ya Afrika yatapata hasara mwaka huu.

    IATA inasema huu utakuwa mwaka wa nne mtawalia kwa mashirika hayo kupata hasara huku yakikabiliwa na bei kubwa ya mafuta na kupungua kwa biashara barani humo.

    Ripoti ya shirika hilo iliotolewa mjini Seoul, Korea Kusini inasema faida ya mashirika ya ndege ya Afrika itafikia dola bilioni 28 ikiwa ni punguzo la mwaka jana la dola bilioni 35.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako