• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • UAE yaipiku Ulaya kwa manunuzi kutoka Afrika

  (GMT+08:00) 2019-06-11 19:35:19

  Milki za kiarabi zimeendelea kuwa soko kubwa la bidhaa kutoka Afrika Mashriki taakwimu zikionyesha kuwa kanda hiyo iliuza bidhaa za dola milioni 98 mwaka 2017.

  Lakini kwenye soko la Umoja wa Ulaya kanda ya Afrika Mashariki iliuza bidhaa za dola milioni 96.

  Burundi ndio muuzaji mkubwa kwenye soko la UAE kwa dola milioni 50, ikifuatiwa na Rwanda dola milioni 19 Uganda na Tanzania dola milioni 11 na Kenya dola milioni 7.

  Burundi hasa inauza bidhaa za kilimo kama vile chai na kahawa ambazo ziliiletea dola milioni 48.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako