• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • ICRC yasisitiza kuheshimu Sheria ya kibinadamu ili kuhakikisha hakuna watu wanaopotea kwenye mapambano

    (GMT+08:00) 2019-06-12 08:46:38

    Mkurugenzi mkuu wa Kamati ya kimataifa ya msalaba mwekundu ICRC Bw. Peter Maurer amesema nchi na pande hasimu kwenye mapambano ya kisilaha zinatakiwa kuhakikisha sheria ya kibinadamu ya kimataifa inaheshimiwa kwenye operesheni zao, ili kuhakikisha hakuna mtu anayepotea kwenye mapambano hayo.

    Akizungumza kwa njia ya video kwenye Baraza la Usalama kuhusu watu waliopotea kwenye migogoro, Bw. Maurer amesema ICRC inatoa wito kwa pande zote za mapambano kuiwezesha kamati hiyo kufikia vituo ambavyo watu wanashikiliwa na kuruhusu mawasiliano ya kifamilia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako