• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Iran yakanusha kumshikilia makamanda wa IRGC

    (GMT+08:00) 2019-06-12 09:48:58

    Gazeti la Iran Tehran Times Daily limeripoti kuwa, Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la nchi hiyo IRGC limekanusha ripoti zisizo za kweli kwamba makamanda wake wengi waandamizi wamekimbia nchi hiyo au wamekamatwa. Msemaji wa IRGC Ramazan Sharif amesema, habari hizo zilizotolewa hivi karibuni zikiwa sehemu ya hatua za mfululizo za kupambana na Iran, zilizoanza baada ya Marekani kuiorodhesha IRGC kuwa kundi la kigaidi la kigeni mwezi Aprili.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako