• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wapiganaji watatu na raia mmoja wauawa Iraq

    (GMT+08:00) 2019-06-12 09:49:52

    Jumla ya wapiganaji watatu wa Kundi la IS na raia mmoja wameuawa katika matukio tofauti katika mikoa ya Kirkuk na Diyala nchini Iraq.

    Taarifa iliyotolewa na Ofisi ya habari ya Kamandi ya Operesheni za Pamoja imesema, polisi wamevamia ngome ya IS iliyoko kwenye kijiji kimoja karibu na mji wa Hawijah, kilomita 50 kusini magharibi mwa mji wa Kirkuk. Wakati wa operesheni hiyo, wapiganaji watatu wa kundi la IS wameuawa, huku silaha zao zikikamatwa, na ngome zao kuteketezwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako