• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mazungumzo ya 10 ya uchumi na mambo ya fedha kati ya China na Uingereza kufanyika

    (GMT+08:00) 2019-06-12 19:39:09

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bw. Geng Shuang leo amesema, mazungumzo ya 10 ya uchumi na mambo ya fedha kati ya China na Uingereza yatafanyika tarehe 17 nchini Uingereza, ambapo pande mbili zitajadili mada kuhusu hali ya jumla ya uchumi, usimamizi wa uchumi duniani, biashara na uwekezaji, ushirikiano wa miradi mikubwa, ushirikiano wa mambo ya fedha, ushirikiano wa kimkakati na wa sekta mpya.

    Mazungumzo hayo yataendeshwa kwa pamoja na naibu waziri mkuu wa China Bw. Hu Chunhua na waziri wa mambo ya fedha wa Uingereza Bw. Philip Hammond.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako