• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • MASUMBWI: Bondia Mtanzania aliyemchapa Mkenya kwa KO awa gumzo

    (GMT+08:00) 2019-06-13 08:55:15

    Bondia mtanzania, Hamis Maya amekuwa gumzo baada ya kumchapa James Onyango wa Kenya kwa Technical Knock Out (TKO) kwenye ukumbu wa Charter jijini Nairobi.

    Katika raundi ya sita ilitosha kabisa kumpa ushindi Maya, pambano lililokuwa la raundi nane la uzani wa juu. Kabla ya kupanda ulingoni, Maya alikuwa na alama o.278 wakati mpinzani wake akiwa na alama 7.795.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako