• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • RIADHA: Chelimo na Cheptegei wajipanga kwa mbio za dunia za Doha

    (GMT+08:00) 2019-06-13 08:55:29

    Wanariadha wa Uganda Joshua Cheptegei na Jacob Kiplimo ni moja ya wanariadha nchini humo wamefuzu kushiriki mashindano ya riadha ya dunia yatakayofanyika mjini Doha Qatar Septemba 27 hadi Oktoba 6 mwaka huu.

    Cheptegei amefuzu baada ya kushinda mashindano ya kufuzu ya Shanghai Mei 18, sasa anajipanga kushiriki mbio za mita 5000 za Doha.

    Wanariadha hao watakumbana na ushindani mkali toka kwa wanariadha wa Kenya na Ethiopia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako