• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Tanzania kufanya maonesho ya utalii nchini China

  (GMT+08:00) 2019-06-13 09:33:38

  Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii nchini Tanzania TTB Bw. Thomas Mihayo amesema, bodi hiyo inapanga kufanya maonesho ya utalii katika miji minne ya China ikiwemo Beijing, Shanghai, Nanjing na Changsha kati ya June 19 na 26.

  Mihayo amesema lengo la maonesho hayo ni kukuza mvuto wa Tanzania katika soko la utalii linalokua nchini China.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako