• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mjumbe wa China asisitiza umuhimu wa vyombo vya habari katika kuzuia migogoro

  (GMT+08:00) 2019-06-13 09:34:18

  Balozi wa kudumu wa China katika Umoja wa Mataifa Bw. Ma Zhaoxu amesema, kuzuia migogoro kunahitaji kuweka mkazo zaidi katika umuhimu wa upatanishi.

  Balozi Ma amesema, upatanishi ni moja kati ya mbinu za kutafuta ufumbuzi wa amani wa migogoro, pia ni njia muhimu kwa Umoja wa Mataifa kuzuia migogoro. Amesisitiza umuhimu wa kuweka na kutekeleza mipango ya kazi kuhusu upatanishi, na kuonesha ushawishi pekee wa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa, nguvu ya Sekretarieti ya Umoja huo, na kujihusisha kwa wawakilishi au wajumbe maalumu wa katibu mkuu kwenye suala hilo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako